Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia
Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa kata ya Masumbwe, katika muendelezo wa
Kampeni za Uchaguzi kwa CCM, Mbogwe mkoani Geita tarehe 12 Oktoba, 2025.
Wagombea wakitambulishwa.
Mkutano ukiendelea.
Jesca Magufuli akizungumza
Kada wa CCM Aggrey Mwanri akizungumza kwenye mkutano huo.
Sera zikinadiwa
Mgombea Urais CCM Dkt. Samia akiteta jambo na mgombea ubunge wa Jimbo la Bukombe, Doto Biteko.
Wagombea wakionesha ilani ya uchaguzi
0 Comments