Naitwa Amos, ni mwanamume mwenye taaluma yangu ya udaktari na nimefanikiwa sana kimaisha. Nina nyumba yangu, nina gari na kila kitu kinachoashiria maisha bora. Lakini pamoja na mafanikio hayo, nilikuwa na siri moja ya aibu ambayo ilikuwa inanimaliza nguvu; nilikuwa siwezi kudumu na mwanamke.
Kila nikianzisha mahusiano na mwanamke, hata kama ni mcha Mungu kiasi gani, tukifikia hatua ya kuzungumzia ndoa, mambo yanaharibika ghafla.
Kwa zaidi ya miaka tisa, nimeishi maisha ya upweke huku nikijaribu kila njia. Nilishajaribu kuwaposa wanawake watano tofauti, lakini kila mmoja wao alikuwa akighairi dakika za mwisho kabisa kabla ya harusi.




0 Comments