Siku hiyo ilikuwa ya furaha kubwa kwangu na familia yangu. Tulikuwa tumepanga harusi ya ndoto, kila kitu kikiwa kimeandaliwa kwa umakini mkubwa. Wageni walikuwa wamefika kwa wingi, muziki ulikuwa unapiga, na chakula kilikuwa kinapikwa kwa haraka ili kila mtu afurahie.
Nilikuwa mmoja wa waandaaji wakuu, hivyo nilihakikisha kila kitu kinaenda sawa. Lakini ghafla, tukio la kushangaza lilitokea ambalo lilibadilisha kabisa hali ya siku hiyo.




0 Comments