Katika kipindi ambacho migogoro ya ndoa imekuwa changamoto kwa familia nyingi, baadhi ya wanandoa wamekuwa wakitafuta njia mbadala za kurejesha maelewano, upendo na amani ndani ya nyumba zao. Miongoni mwa wanaotajwa kusaidia katika eneo hilo ni Kiwanga Doctors, wanaotoa ushauri wa maisha na mwongozo wa asili kwa wanandoa wanaopitia changamoto mbalimbali.
Asha na mume wake (majina yamehifadhiwa) walikuwa karibu kuvunja ndoa yao baada ya miaka kadhaa ya migogoro isiyoisha. Kutokuelewana, hasira za mara kwa mara na kupungua kwa mawasiliano kulifanya maisha yao kuwa magumu kila siku.




0 Comments