Subscribe Us

RAIS SAMIA AMUAPISHA JAJI MKUU, IKULU CHAMWINO DODOMA, TAREHE 15 JUNI 2025

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mhe. Jaji George Mcheche Masaju kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 15 Juni, 2025.

Mhe. Jaji George Mcheche Masaju akila kiapo cha kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania 

Viongozi na Wageni mbalimbali waliohudhuria hafla ya uapisho wa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Mhe. Jaji George Mcheche Masaju, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 15 Juni, 2025
Viongozi na Wageni mbalimbali waliohudhuria hafla ya uapisho wa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Mhe. Jaji George Mcheche Masaju, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 15 Juni, 2025

Wimbo wa Taifa ukiimbwa kabla  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan hajamuapisha Mhe. Jaji George Mcheche Masaju kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 15 Juni, 2025.

Post a Comment

0 Comments