Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi Mkoani Simiyu tarehe 15 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na wananchi
mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza kwa ajili ya kuanza
ziara ya kikazi Mkoani Simiyu tarehe 15 Juni, 2025.

Wananchi wakimshangilia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi Mkoani Simiyu tarehe 15 Juni, 2025.
0 Comments