Safari yangu ilikuwa imepangwa kuchukua siku nne. Niliondoka nikiwa na amani moyoni, nikiamini kila kitu nyumbani kiko salama. Mawasiliano kati yangu na mke wangu yalikuwa ya kawaida, hakuna kilichoonyesha kuwa kuna tatizo lolote.
Lakini siku ya pili, mambo kazini yalibadilika ghafla. Nikapata nafasi ya kurudi mapema kuliko ilivyopangwa. Niliona ni jambo zuri ningemshangaza mke wangu na kutumia muda zaidi pamoja kabla ya kurudi tena kazini.
Nilifika nyumbani usiku bila kutoa taarifa.




0 Comments