Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Shaka Hamdu Shaka akisonga ugali mara baada ya kuzinduliwa kwa Mpango endelevu wa uhamasishaji matumizi ya gesi Safi inayotokana na viumbe hai ( Ngo'mbe) ambapo mpango huo ulizinduliwa na kiongozi wa mbio za Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2026 Wazo Michael Mwango'nda katika kijiji cha Msowero wilayani humo.
Uzinduzi wa mpango huo ukiendelea




0 Comments