Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki kufurahi na wananchi wa Mkoa wa Mtwara mjini kabla ya kuwahutubia katika muendelezo
wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM, mkoani Mtwara tarehe 26 Septemba, 2025.

Shamra shamra za wananchi wa Mtwara mjini
kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM)
uliofanyika katika viwanja vya Sabasaba mkoani Mtwara tarehe 26 Septemba, 2025.
Shamra shamra za wananchi wa Mtwara mjini
kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM)
uliofanyika katika viwanja vya Sabasaba mkoani Mtwara tarehe 26 Septemba, 2025.
Waendesha Baiskeli nao walikuwa bega kwa bega katika mkutano huo.
0 Comments