Kikundi cha Kwata ya kimya kimya kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kikionesha umahiri wa kupiga kwata hiyo wakati wa Sherehe za miaka 50 ya Uhuru wa Comoro zilizofanyika katika uwanja wa Malouzini Jijini Moroni tarehe 06 Julai, 2025.
#Abainisha fursa kubwa zilizopo kwenye mnyororo wa thamani #Ajira zaongezeka mara tatu…
Copyright (c) 2022 manyaranewstzmblog All Right Reseved / CREATE BY SOLOMON PHILEMON / 0787 013 988
0 Comments