Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu
Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Kibaha katika muendelezo wa
Kampeni za Uchaguzi kwa CCM mkoani Pwani tarehe 28 Septemba, 2025.
Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kibaha mkoani Pwani tarehe 28 Septemba, 2025.
Sehemu ya wananchi wa Kibaha mkoani Pwani waliohudhuria mkutano huo.
Sehemu ya wananchi wa Kibaha mkoani Pwani waliohudhuria mkutano huo
Mkutano ukiendelea.
0 Comments