Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Chalinze katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM mkoani Pwani tarehe 28 Septemba, 2025.
Dkt. Samia akisisitiza jambo kwenye mkutano huo.Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara
wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) Chalinze mkoani Pwani
tarehe 28 Septemba, 2025.
Mwenyekiti Mstaafu wa CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza.
Sehemu ya wananchi wa Chalinze mkoani Pwani waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) tarehe 28 Septemba, 2025

Shamra shamra za wananchi wa Chalinze mkoani Pwani katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) tarehe 28 Septemba, 2025.

Dkt. Samia akimkabidhi ilani ya uchaguzi mgombea ubunge jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete
0 Comments