Subscribe Us

DKT. SAMIA AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA NUNGWI ZANZIBAR


Mgombea nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Nungwi katika muendelezo wa kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho Zanzibar tarehe 18 Septemba 2025.








 

Post a Comment

0 Comments