Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Pangani katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM mkoani Tanga tarehe 29 Septemba, 2025.
Dkt. Samia akisisitiza jambo kwenye mkutano huo.
Matukio mbalimbali yakiendelea kwenye mkutano huo.
Dkt. Samia akimkabidhi ilani ya uchaguzi Mgombea ubunge wa Jimbo la Pangani, Jumaa Aweso.
Dkt. Samia akimkabidhi ilani ya uchaguzi mgombea ubunge wa Jimbo la Pangani, Jumaa Aweso
Sehemu ya wananchi wa Pangani mkoani Tanga waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) tarehe 29 Septemba, 2025.
0 Comments