Subscribe Us

MGOMBEA URAIS CCM DKT. SAMIA AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA KIBAHA MKOA WA PWANI

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Kibaha katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM mkoani Pwani tarehe 28 Septemba, 2025. 

Mwenyekiti Mstaafu wa CCM Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akizungumza 

Sehemu ya wananchi wa Kibaha mkoani Pwani waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) tarehe 28 Septemba, 2025.

Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kibaha mkoani Pwani tarehe 28 Septemba, 2025.

Shamra shamra za wananchi wa Kibaha mkoani Pwani katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) tarehe 28 Septemba, 2025.

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akigawa Ilani ya Uchaguzi kwa wagombea Ubunge wa Mkoa wa Pwani mara baada ya kuhutubia wananchi katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi za CCM tarehe 28 Septemba, 2025.

Wagombea Ubunge wa Mkoa wa Pwani wakiwa kwenye mkutano huo.

Post a Comment

0 Comments