Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Msata katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM mkoani Pwani tarehe 28 Septemba, 2025.
Sehemu ya wananchi wa Msata mkoani Pwani waliohudhuria
mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) tarehe
28 Septemba
Shamra shamra za wananchi wa Msata mkoani Pwani katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) tarehe 28 Septemba, 2025.

0 Comments