Subscribe Us

MGOMBEA URAIS CCM DKT. SAMIA AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MAKUNDUCHI ZANZIBAR

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Makunduchi, katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 17 Septemba, 2025. 

Matukio mbalimbali katika Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Makunduchi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 17 Septemba, 2025.





Sehemu ya wananchi wa Makunduchi, Mkoa wa Kusini Unguja waliohudhuria Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) tarehe 17 Septemba, 2025. 

Shamra shamra za wananchi wa Makunduchi, Mkoa wa Kusini Unguja katika mkutano wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) tarehe 17 Septemba, 2025.


 

Post a Comment

0 Comments