Subscribe Us

MGOMBEA URAIS CCM DKT. SAMIA AKIWAHUTUBIA WANANCHI WA MKOA WA MTWARA

 Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchi wa Mtwara mjini katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM, mkoani Mtwara tarehe 26 Septemba, 2025. 

Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika katika viwanja vya Sabasaba mkoani Mtwara tarehe 26 Septemba, 2025.

 Shamra shamra za wananchi wa Mtwara mjini kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika katika viwanja vya Sabasaba mkoani Mtwara tarehe 26 Septemba, 2025. 

Wasanii wakitoa burudani

Mkutano ukiendelea
Taswira ya mkutano huo.
 
Post a Comment

0 Comments