Subscribe Us

DKT. SAMIA AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MISUNGWI KATIKA MKUTANO WA KAMPENI

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Misungwi katika muendelezo wa muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM, mkoani Mwanza tarehe 07 Oktoba, 2025.

Sehemu ya Wananchi wa wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni wa Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan tarehe 07 Oktoba, 2025.
Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Dkt. Asha-Rose Migiro akishiriki mkutano huo.

Shamra shamra za mapokezi ya Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan mara baada ya kuwasili Misungwi mkoani Mwanza tarehe 07 Oktoba, 2025.

Matukio mbalimbali katika mkutano huo. 

Matukio yakiendelea.

Matukio mbalimbali katika mkutano huo.
 
Post a Comment

0 Comments