Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Mkuranga katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM, mkoani Pwani tarehe 20 Oktoba, 2025.
Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara wa Kampeni wa Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan uliofanyika Mkuranga mkoani Pwani tarehe 20 Oktoba, 2025.
Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara
wa Kampeni wa Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan
uliofanyika Mkuranga mkoani Pwani tarehe 20 Oktoba, 2025.
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi Ilani ya uchaguzi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mkuranga, Abdallah Ulega.
Taswira ya mkutano huo.
0 Comments