Subscribe Us

DKT. SAMIA AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MANYARA KATIKA MKUTANO WA KAMPENI

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Mkoa wa Manyara kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Babati mjini katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM mkoani humo tarehe 04 Oktoba, 2025. 

Dkt. Samia akimkabidhi ilani ya uchaguzi mgombea ubunge Jimbo la Hanang, Asia Hamlaga.

Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika Babati mjini mkoani Manyara tarehe 04 Oktoba, 2025. 

Sehemu ya wananchi wa Babati na maeneo jirani waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Manyara tarehe 04 Oktoba, 2025. 

Shamra shamra ikiendelea.

Shamra shamra za wananchi wa Babati na maeneo jirani waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Manyara tarehe 04 Oktoba, 2025. 

Mkutano huo ukiendelea

Shamra shamra za wananchi wa Babati na maeneo jirani waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Manyara tarehe 04 Oktoba, 2025. 

Post a Comment

0 Comments