Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia
Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Sumbawanga mjini katika muendelezo wa
Kampeni za Uchaguzi kwa CCM, mkoani Rukwa tarehe 19 Oktoba, 2025.
Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara wa
Kampeni wa Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan
uliofanyika Sumbawanga mjini mkoani Rukwa tarehe 19 Oktoba, 2025.
0 Comments