Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Manyara C.D.E Shaban Mrisho Lula akizungumza kwenye kikao wakati wa ziara ya kusaka kura za wagombea wa CCM Wilaya ya Kiteto.
.............................................
Na Mwandishi Wetu, Kiteto
Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Manyara C.D.E Shaban Mrisho Lula atua Wilaya ya Kiteto kuzisaka kura za wagombea wa CCM.katika Kata za Engusero na Partimbo ambapo alifanya kikao cha ndani na viongozi wa ngazi za mashina, matawi,kata na wilaya.
Katika ziara hiyo Lula aliaambatana na Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo Comrade Nzwalile na Katibu wa Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Manyara Bi Christina Masagasi
Mkutano wa kusaka kura ukifanyika.
Kikao cha ndani kikifanyika
Taswira ya kikao hicho cha ndani.
0 Comments