Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ameungana na Viongozi, Waumini pamoja na Wananchi
mbalimbali katika Ibada ya kumuombea Baba wa Taifa Hayati Mwalimu. Julius
Kambarage Nyerere iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu
Francisko wa Asizi, Mwanjelwa Mkoani Mbeya leo tarehe 14 Oktoba 2025. Ibada
hiyo imeongozwa na Akofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Mbeya Mhashamu Gervas
Nyaisonga
Unyenyekevu mkubwa katika ibada hiyo
Ibada ikiendelea.
Mgombea ubunge Jimbo la Uyole CCM, Dkt. Tulia Ackson akiwa kwenye ibada hiyo.
0 Comments