Subscribe Us

MGOMBEA URAIS CCM AKIHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI HANANG MKOA WA MANYARA

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Katesh katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM wilayani Hanang mkoani Manyara tarehe 03 Oktoba, 2025.

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Katesh.

Taswira ya mkutano huo.

Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika Katesh wilayani Hanang mkoani Manyara tarehe 03 Oktoba, 2025.

Mgombea Ubunge Jimbo la Hanang, Asia Halamga, akizungumza kwenye mkutano huo.

Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye, akizungumza.

Dkt. Samia akiwasalimia wananchi wakati wa mkutano huo.

Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika Katesh wilayani Hanang mkoani Manyara tarehe 03 Oktoba, 2025.

Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika Katesh wilayani Hanang mkoani Manyara tarehe 03 Oktoba, 2025.

Sehemu ya wananchi wa Katesh waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika Wilayani Hanang mkoani Manyara tarehe 03 Oktoba, 2025.

Shamra shamra za wananchi wa Katesh walihudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika Wilayani Hanang mkoani Manyara tarehe 03 Oktoba.

Post a Comment

0 Comments