Subscribe Us

MOTO WA KUFUZU KOMBE LA DUNIA: HISPANIA, URENO NA ITALIA ZATINGA UWANJANI LEO!

Barani Ulaya, ulingo wa kufuzu Kombe la Dunia 2026 umeanza kwa msisimko usio na kifani. Timu zinazokabiliana ziko tayari kujitoa kwa kila kitu. Kwa mashabiki wa soka, hii ni fursa ya kupata kipato kupitia Meridianbet, ambapo kila ODDS na kila chaguo ni sehemu ya safari ya ushindi.

Hispania anamkaribisha Bulgaria. Hispania wanasogea dimbani wakiwa na ubabe wa kisoka huku Bulgaria wakijitahidi kupata matokeo ili kufufua matumaini yao. ODDS zimepangwa ili kila shabiki aweze kujihusisha na kila tukio. Ni pambano la kuvutia. Utaweka bet upande gani?

Uturuki wanakutana na Georgia katika mechi yenye mvuto wa hali ya juu. Georgia imeonyesha uthabiti, lakini nyumbani, Uturuki ni ngome isiyoshindwa. Meridianbet wameandaa chaguo zisizo na kikomo zaidi ya 1000 za kubashiri.

SOMAN ZAIDI

Post a Comment

0 Comments