Subscribe Us

PICHA MBALIMBALI ZA HALAIKI - KILELE CHA MBIO ZA MWENGE

Vijana wa halaiki wakifanya maonesho mbalimbali wakati wa hafla ya Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru 2025, Kumbukizi ya Baba wa Taifa hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere pamoja na Wiki ya Vijana Kitaifa kwa Mwaka 2025 zilizofanyika Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya leo tarehe 14 Oktoba 2025.








 

Post a Comment

0 Comments