Wahenga walisema mwanaume ni kichwa cha familia. Lakini kichwa hicho kikikosa kujiamini hata chumbani, je, amani ya nyumba hubaki? Hii ni hadithi ya Daniel kutoka Thika ambaye kwa muda mrefu aliishi na siri nzito iliyokuwa inamtesa kimya kimya. Kwa nje alikuwa mchangamfu na mwenye mafanikio kazini, lakini ndani ya ndoa yake kulikuwa na ukimya, aibu na hofu.
Daniel alikuwa ameoa kwa miaka mitano. Mkewe alimpenda na kumheshimu, lakini kulikuwa na changamoto moja iliyokuwa inamnyima usingizi. Hakuwa na uwezo wa kudumu kitandani. Kila jaribio lilikuwa la haraka na la kukatisha tamaa. Taratibu akaanza kukwepa ukaribu. Alijifanya amechoka, akalala mapema, au akaamua kukaa sebuleni hadi usiku sana.
Hakusema na mtu. Aibu ilimfunga mdomo.
Aibu Iliyogeuka Umbali wa Ndoa
Kadri miezi ilivyopita, mkewe alianza kulalamika. Alijaribu kuzungumza naye kwa upole, lakini Daniel alikasirika kila mada ilipogusa eneo hilo. Aliona kama anashambuliwa. Ukweli ni kwamba aliumia zaidi moyoni.




0 Comments