Subscribe Us

KISA CHA MWALIMU MREMBO ALIYEKUWA AKIVISHWA PETE ZA UCHUMBA NA KUACHWA KAMA GARI BOVU!

Naitwa Beatrice, mwanamke ambaye kwa miaka mingi nimekuwa nikijitolea kwa moyo mweupe katika kazi yangu ya ualimu hapa nchini. Licha ya kuwa na sura ya upole na tabia ambayo kila mzazi angetamani mwanawe aoe, maisha yangu ya siri yalikuwa yamejaa maumivu makali.

Kwa zaidi ya miaka kumi, nimekuwa “malkia wa pete za uchumba.” Nina mkusanyiko wa pete nne tofauti ndani ya sanduku langu, zote nilipewa na wanaume walioahidi kunioa lakini kila harusi ilipokaribia, walikuwa wakitokomea kusikojulikana au kuanza vitimbwi visivyovumilika.

Hali hii ilinifanya nionekane kama kichekesho mbele ya wafanyakazi wenzangu. Kila mwaka shuleni nilikuwa nabadilisha “shemeji,” jambo lililonifanya nianze kujihisi nina nuksi au laana ya vizazi. Nilianza kuogopa hata kuvaa pete mpya nikipewa, maana nilihisi ni ishara ya kuachwa tena.

Nilihangaika sana kutafuta suluhu, nimezunguka kwa kila aina ya wataalam wa mitishamba nchini Tanzania nikijaribu kusafisha nyota yangu, lakini kila niliyemfuata alikuwa akichukua mshahara wangu na kuniachia patupu huku hali ikiwa ileile.

ENDELEA KUSOMA

Post a Comment

0 Comments