Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Makamu wa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi mara baada
ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA)wakati
akitokea Dubai, tarehe 6 Februari, 2026. alipokuwa Umoja wa Falme za Kiarabu
(UAE), Mhe. Rais Dkt. Samia alishirikikatika Mkutano wa Dunia wa Serikali
(World Governments Summit – WGS) 2026 pamoja na Uzinduzi wa Jukwaa la Kimataifa
wa Uwekezaji Afrika (GAIS).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) wakati akitokea Dubai, tarehe 6 Februari, 2026. alipokuwa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Mhe. Rais Dkt. Samia alishiriki katika Mkutano wa Dunia wa Serikali (World Governments Summit – WGS) 2026 pamoja na Uzinduzi wa Jukwaa la Kimataifa wa Uwekezaji Afrika (GAIS)





0 Comments