Jina langu ni Joseph, mkazi wa mkoa wa Katavi. Nilikuwa mfanyabiashara wa bidhaa za ujenzi na mabomba. Niliamua kuanzisha utaratibu wa kuwapa kahawa ya asubuhi bure watu wote wanaokuja dukanani kwangu kuuliza bei. Nilidhani kuwa ukarimu huu ungewafanya watu wajisikie amani na kununua bidhaa zangu kwa wingi.
Hata hivyo, duka langu likawa kijiwe cha watu kuja kunywa kahawa bure na kuondoka. Nilitumia fedha nyingi kununua kahawa na sukari huku nikiwa siuzi hata bomba moja. Biashara ilianza kufilisika na nikaanza kukosa matumaini. Nilihisi nina mkosi ambao haujawahi kuonekana.

.jpg)


0 Comments