Subscribe Us

MUME WANGU ALIANZA KULALA SEBULENI NA HATA KULA CHAKULA CHAKE NJE

Jina langu ni Fatuma, natokea mkoani Kigoma, wilaya ya Kasulu. Katika mtaa wetu, nilianza kupata sifa mbaya sana baada ya mume wangu kuanza kunitolea maneno ya kashfa kuwa mimi nina “uchawi wa sumu” kitandani. Hii ilitokana na mimi kupoteza kabisa hamu ya tendo la ndoa na kuwa mkavu kiasi cha kusababisha michubuko na maumivu kwa mume wangu kila tulipojaribu kushiriki unyumba.

Mume wangu alikuwa akisema nikimgusa anajisikia kuungua, hivyo akadhani nimemtegea mitego ya kishirikina ili kumkomoa.

SOMA   ZAIDI

Post a Comment

0 Comments