Nilikuwa nimefika mwisho wa uvumilivu. Madeni yalikuwa yamenizunguka kila kona, na kila siku nilikuwa napokea simu za wadai wakinitishia. Nilikuwa nimekopa kila mahali, na hakuna njia ya kulipa iliyokuwa inaonekana mbele yangu. Kwa kweli, nilikuwa nimeshindwa kabisa.
Nilikuwa nikilala usiku nikiwa na stress kali, nikijiuliza kesho nitajibu nini. Hata marafiki walikuwa wameanza kunikwepa, na familia yangu ilikuwa imepoteza imani nami. Biashara yangu ilikuwa imeanguka vibaya, na kila kitu kilionekana kwenda wrong.




0 Comments