Subscribe Us

DRAMA KUBWA: KIJANA ALIYEENDA KUIBA NDIZI SHAMBANI ASHINDWA KUTOKA SHAMBANI ASUBUHI

Drama Kubwa: Kijana Aliyeenda Kuiba Ndizi Shambani Anashindwa Kutoka Shambani Asubuhi, Akutwa Bado Amekaa Na Gunia Lake.
----------------------


Kulikuwa na tukio la kushangaza katika kijiji kimoja mkoani Kagera baada ya kijana mmoja kudaiwa kwenda kuiba ndizi usiku shambani, lakini asubuhi akakutwa bado yupo shambani hapo hapo akiwa amekaa juu ya gunia la ndizi alizokuwa ameiba.

Kwa mujibu wa mwenye shamba, alikwenda shambani mapema asubuhi kama kawaida yake kuangalia mazao yake. Alipofika, alishangaa kumuona kijana amekaa chini karibu na migomba huku pembeni kukiwa na gunia lililojaa ndizi.

SOMA ZAIDI

Post a Comment

0 Comments