......................................
Na Mwandishi Wetu, Manyara
Mbunge wa Jimbo la Babati Vijijini ambaye pia ni Naibu Spika wa Bunge, Daniel Sillo, ameongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa ofisi ya Kanisa la KKKT katika mtaa wa Mandi, ambapo jumla ya Shilingi milioni 5.7 imepatikana.
Katika tukio hilo lililofanyika leo Aprili 2, 2026, Daniel Sillo aliwakilishwa na Katibu wake wa Jimbo, Waziri Juma.




0 Comments