MWAMBA IMARA USIYOTIKISIKA.
ZABURI YA 23:1 Tembea kifua mbele Maana bwana ndiwe Mchungaji wako.
2.Katka Marisho ya majani mabichi atakulaza,kando ya Maji ya Uvuli atakuongoza yeye.
3.Ataitengeneza nafsi yako na kukuongoza katka njia ya haki kwaajili ya sisi wapiga kura wako.
4.Nawe utakapopita kwenye bonde la Uvuli Mauti,haitaogopa wabaya wako, Maana wewe U pamoja na Mungu wako alie hai anakulinda,Mamlaka uliyopewa ndiyo fimbo itakayo kuongoza.
5.Mungu ata endelea kuandaa meza ya Mamlaka mbele yako,Machoni pa Maadui zako. Mungu amekwisha kukupaka Mafuta kichwani Mwako Nuru yako yang'aa. Haki wema wa Mungu na fadhili zake zitakufuata siku zote za Maisha yako. Nawe utakaa nyumbani Mwa Mungu Ukimtumainia Milele.
Chapa kazi sisi vijana wako wa Mkoa Manyara tupo nyuma yako,kila utakapokwama tutakuvusha salama.
KAZI NA TU,TUNASONGA MBELE,
MBELE DAIMA NYUMA MWIKO.




0 Comments