Subscribe Us

𝐑𝐀𝐈𝐒 𝐒𝐀𝐌𝐈𝐀 𝐊𝐔𝐇𝐔𝐃𝐇𝐔𝐑𝐈𝐀 𝐒𝐇𝐄𝐑𝐄𝐇𝐄 𝐙𝐀 𝐔𝐀𝐏𝐈𝐒𝐇𝐎 𝐖𝐀 𝐑𝐀𝐈𝐒 𝐌𝐔𝐒𝐄𝐕𝐄𝐍𝐈

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiagana na viongozi mbalimbali kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Jijini Dar es Salaam kabla ya kuondoka nchini, kuelekea Uganda kuhudhuria Sherehe za Uapisho wa Rais wa nchi hiyo Mhe. Yoweri Kaguta Museveni Mei 12, 2026. 

Post a Comment

0 Comments