Sikuwahi kufikiria ningemuona tena mpenzi wangu wa zamani akirudi maishani mwangu. Tulikuwa tumekuwa pamoja kwa muda mrefu, tukijenga ndoto za maisha ya baadaye pamoja. Nilimpenda kwa moyo wangu wote na nilikuwa naamini uhusiano wetu ungeishia kwenye ndoa.
Ndiyo maana siku alipoamua kuondoka, nilihisi kama dunia yangu imevunjika vipande vipande. Kwa kweli iliniumiza sana. Mwanzoni nilidhani ni ugomvi wa kawaida ambao ungeisha baada ya muda.
KUENDELEA KUSOMA ....BOFYA HAPA




0 Comments