Subscribe Us

𝗝𝗘𝗡𝗘𝗥𝗔𝗟𝗜 𝗠𝗞𝗨𝗡𝗗𝗔 𝗔𝗞𝗜𝗪𝗔𝗦𝗜𝗟𝗜 𝗕𝗨𝗡𝗚𝗘𝗡𝗜 𝗞𝗨𝗦𝗛𝗨𝗛𝗨𝗗𝗜𝗔 𝗨𝗪𝗔𝗦𝗜𝗟𝗜𝗦𝗛𝗔𝗝𝗜 𝗕𝗔𝗝𝗘𝗧𝗜 𝗬𝗔 𝗪𝗜𝗭𝗔𝗥𝗔 𝗬𝗔 𝗨𝗟𝗜𝗡𝗭𝗜

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Jacob Mkunda, akiwasili Bungeni jijini Dodoma leo Jumanne Mei 19, 2026, kwa ajili ya kushuhudia uwasilishaji wa bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa kwa mwaka wa fedha 2026/2027

Pichani Jenerali Mkunda akisalimiana na viongozi mbalimbali wa Wizara hiyo wakiongozwa na Waziri Mhe. Dkt. Rhimo Nyansaho

Post a Comment

0 Comments