Subscribe Us

𝐈𝐒𝐌𝐀𝐍 𝐖𝐀𝐉𝐈𝐓𝐎𝐊𝐄𝐙𝐀 𝐊𝐖𝐀 𝐖𝐈𝐍𝐆𝐈 𝐊𝐔𝐌𝐂𝐇𝐀𝐆𝐔𝐀 𝐌𝐑𝐈𝐓𝐇𝐈 𝐖𝐀 𝐋𝐔𝐊𝐔𝐕𝐈

Mwananchi Mkazi wa wa Kijiji cha Kihongorota katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa mkoani Iringa, Angelista Mwenda akipiga kura katika uchaguzi mdogo wa Ubunge jimbo la Ismani uliofanyika leo Juni 01, 2026. 
Wananchi wa Kijiji cha Mkungugu jimbo la Ismani katika Halmashauri ya Wilaya ya Iringa mkoani Iringa wakiwa katika foleni ya kupiga kura ya kumchagua Mbunge wao katuika uchaguzi mdogo uliyofanyika leo Juni 01, 2026. 
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele akipita kuingia katika kituo cha Kura cha Ofisi ya Kijiji Mtera katika jimbo la Ismani Wilaya ya Iringa mkoani Iringa kukagua mwenendo wa zoezi la kupiga kura kwa wananchi wa Ismani lililofanyika leo Juni 01,2026. 

(Picha zote na INEC)

Post a Comment

0 Comments